Taifa Weekly 1979 no. 1182
- Description:
- SWAHILI: Taifa Weekly 1979 no. 1181 Aprili 14."Majeshi ya walowezi wa Rhodesia walishambulia na kuharibu kabisa jengo la afisi kuu pamoja na makoa ya Bw. Joshua Nkomo mjini Lusaka , Zambia."Watawala wapya wa Uganda walipeleka vikosi maalum katika sehemu tofauti za Uganda kumsaka vikali Idi Amin aliyepinduliwa baada ya kuachiwa na majeshi ya Tanzania pamoja na wakimbizi wa Uganda waliokuwa wakimpinga."<br>ENGLISH: Taifa Weekly 1979 no. 1182 April 21st."Attorney General Mr. Charles Njonjo said that Ugandans who escaped to Kenya after the overthrow of Idi Amin's regime must return to them because they are not legitimate refugees but fugitives."
- Date:
-
Aprili 21, 1979
April 21, 1979 - Resource Type:
- text
- Collection:
-
McMillan Memorial Library Newspaper Collection