Taifa Kenya no. 712
- Description:
- SWAHILI: Taifa Kenya suala la 712 Mei 18, 1968 Wageni wasio wanachi wa Kenya ambao wanafanya uhalifu mwingi mbaya katika Momboasa, walionywa vikali na Kanu na kwenye tamko liliowekwa sahihi na Makamu wa Rais wa chama hiko katika pwani Bw. Ronald Ngala. Tamko la Bw. Ngala lakaza "Nataka kuwaonya wageni hao ni wajibu wao kuheshimu Jamhuri ya Kenya na kuishi katika ujamaa mwema kwa kuweka jina la Kenya safi, bila ya kuharibu sifa yake na kuleta madhehebu yenye kurudisha nyuma utalii wetu hapa nchini."<br>ENGLISH: Taifa Kenya newspaper issue 712 of May 18, 1968 Foreigners who are not Kenyan citizens who commit many serious crimes in Mombasa, were strongly warned by Kanu and in a statement signed by the vice preisent of the party in Coast Mr. Ronald Ngala. The declaration of Mr. Ngala Lakaza "I want to warn those guests that it is their duty to respect the Republic of Kenya and live in a good society by keeping Kenya's name clean, without damaging its reputation and to bring back sects that are holding back our tourism in this country.
- Date:
-
May 18, 1968
Mei 18, 1968 - Resource Type:
- text
- Collection:
-
McMillan Memorial Library Newspaper Collection