Turathi
- Description:
- SWAHILI: Shairi hili ni kuhusu kuhifadhi na kuthamini utamaduni. Hususan utamaduni wa pwani mwa Kenya. Ustadh Mau anapeana mifano ya nyanja muhimu za kitamaduni zinazohitaji kutambuliwa na kuhifadhiwa kama turadhi muhimu. Kwa mfano ngoma za kitamaduni, kutengeza vikapu, nguo za kitamaduni, magoma, mikoko, minazi na kuweka nakshi kwenye mbao. Ustadh Mau anasisitiza kwamba utamaduni ni muhimu upitishwe kutoka kwa mzazi kwa mtoto ili utamaduni usipotee.<br>ENGLISH: This poem is about the preservation and appreciation of culture, specifically the culture of the coast (Pwani) in Kenya. Ustadh Mau describes specific examples of cultural aspects that should be protected and recognized as important heritage to preserve, such as traditional dances, basket-making, traditional attires, drums, axes, mangrooves, coconut trees and woodcarving. Ustadh Mau emphasizes that culture should be passed on from parents to child and so forth so that it may never be lost.
- Date:
- December 31, 2013
- Resource Type:
- text
- Collection:
-
Ustadh Mau Digital Archive (UMADA)