SWAHILI: November 15 nambari 490 jicho 1961, Ethiopia yasaidia wakenya kwa watu wenye taabu ya njaa, Siera Leone yaanzisha kampuni ya ndege.<br>ENGLISH: November 15 issue number 490 jicho 1961 has many stories, Ethiopia has assisted Kenyans who are undergoing hunger, Sierra Leone to start flight company
SWAHILI: Aprili 05 nambari 431 jicho 1961 , Oginga Odinga alitumaini ushindi katika uchaguzi , Mbiyu Koinange helps the formation of govrnment in Kenya<br>ENGLISH: April 05 issue no 431 jicho has many stories, Oginga Odinga expected to win during elections, Mbiyu Koinange asaidia juu ya tatizo kuhusu uudaji wa selikali nchini Kenya
SWAHILI: Januari 25 jicho nambari 448 1961 yanazungumzia mambo mengi, Pigia uhuru kura, Tom Mboya wa kenya aonekana pamoja na mhe. Nhru wa India.<br>ENGLISH: January 25 issue no. 448 Jicho 1961 has many stories, Vote for Independence, Tom Mboya from Kenya in the picture with Hon Nehru from India and other leaders when he visits India
SWAHILI: Juni 21 nambari 469 jicho 1961, NI lazima nchi za east afrika zijisaidie zenyewe asema commissioner wa east afrika , Maafisa wa polisi wa Tanganyika wasifu njia za uingereza<br>ENGLISH: June 21 issue number 469 jicho 1961 has many stories, East African countries must help themselves on their own, Police officers from Tanganyika has praised UK